Sarah In Tanzania Kisa Mjomba Nchu
Jaman Mamboz nimetumiwa hii Picha na kuambiwa Sarah Yuko Tanzania na wanasheria 10 issue ni Divorce na Mgawanyo wa Mali.
sijui ni kweli au uongo so wanna hear n balance the stories and rumor kuzi clear ntaangalia jinsi naeza Mpata Sema account Yangu Ya Youtube ile naiwazia sana interview za nje yan 😔 Nirudishe sijui The Interview Mara1 kwa mwez .. nimebanwa na Lavidavi na nahisi i need to do more for the show so apa napambana aje lavidavi kidogo tuskie a2z atueleze kila kitu



Hi diva napenda jins ulivo
JibuFuta