UMBEA HUU , ISSUE YA MIMI MARS NA ALICE WA DEAR EX HII APA
ila Marioo mtoto wangu kanipa exclusive jaman ..
embu angalieni hii Interview Ya Huyu Dada Yote Mjionee Mazungumzo yake yan kanchanganya sana sijui kama alikuwa anasema ukweli au uongo maana
Mimi Mars Mi nampenda jaman zari nampenda Hamisa Nampenda Wema Ndio Roho Yangu asa sijaelewa why dada kawaponda wenzie regardless jus doin my job with no sides ila aisee Mh .. bofya apa 👇 kwenye hii show Ya Lavidavi Nimeanza Umbea jaman ila aisee hapana



Maoni
Chapisha Maoni