AIBU SANA HII LAANA PIA
SIMU SIJUI NIMEITUPA WAPI NIMECHUKUA SIMU YA DADA YANGU ILA NIPOSTIE TU WAMAMA WANIFARIJI ðŸ˜ðŸ˜KUNA WANAUME WABAYA JAMNI!!! NA NDUGU WENGINE SIO WATU WAZURI NALIA MWENZENUðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Nina mimba ya miezi NANE tulifunga ndoa na huyu mwanaume mwaka juzi mwezi wa Kwanza ðŸ˜ðŸ˜ kwakuwa ndiyo uzazi wangu wakwanza mama akaniambia nikajisikilizie kwa dada yangu wa hiyari kigambon. tumetoka wote Kijiji kimoja nilimwambia mume wangu hakukataa Tena alifurahi Sana tu nakunisindikiza akanisindikiza ðŸ˜ðŸ˜ jumamos ya wiki iliyopita nikakumbuka kadi la ujauzito nimelisahau nyumbani kwangu nikalichukue ðŸ˜ðŸ˜nafika nyumbani nakuta watu wamejaa nikauliza Kuna nini Kuna jirani yetu kanishikilia huku na huku ananizugisha usiende ndani hakuna chochote usiendeðŸ˜ðŸ˜nikalazimisha kuingia nikasimama dirishani namkuta MDOGO WANGU WA DAM KABISA anamfokea mume wangu huku analia
ðŸ˜ðŸ˜NANUKUU ,NIMECHOKA NA AHADI ZAKO FEKI WEE MWANAUME KUNITUMIA KOTE LEO HII NDIYO UNANILIPA HAYA ULINIAMBIA UTAMUACHA FULANI KATAJA JINA LANGU, ILI UNIOE MIMI LAKINI SIKU ZINAENDA TU HAKUNA CHOCHOTE UKAAMUA KUMTWISHA NA MIMBA KABISA SAWA HILO NIKASAMEHE ,LAKINI UKAONA HAITOSHI LEO NAKUFUMANIA NA MWANAUME MWENZIO NDANI INA MANA NINAVYOKUPAGA MIMI HURIZIKI UKAAMUA UTAFUTE MWANAUME MWENZIO .
ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜jamn hapo nimesimama kwa nje dirishani nasikia na naona kila kitu ndani nilihisi baridi la gafla tumbo limekuw zito siamin kile nachosikia nikasukuma wale watu wa mlangoni niingie ndani ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜nalia mwenzenu nimemkuta mume wangu na boksa huku ameshikiria jicho linatoa damu na kivulana Kama Cha miaka 20 hivi kamevaa taulo kajifunga kifuani ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜huyo mdogo wangu yeye kashika mti wa fagio umevunjika nilihisi kuwa chizi na tumbo langu lilivyokubwa nkaanza kupiga kelele huku nikimkaba mwanaume natamani kuongea sauti haitoki nilikuwa Kama kichaa mwenzenuðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜huku mdogo wangu katembea na shemeji yake huku mume kalala na mwanaume SHOGA ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜nilianguka nimekuja kuzinduka nipo hospitali nimejifungua kwa Op ðŸ˜ðŸ˜bado nipo kwa dada na mtoto mchanga sijarudi kwa mwanaume bado ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜kURUDI KULE MWENZENU NAJIHISI MZITO NALIA MWENZENU NDUGU NA HUYU MWANAUME WMEFANYA NIHISI KUFA DADA WA HIYARI WIKI IJAYO ANARUDISHA CHUMBA KAPIGIWA CM MUME WAKE YUKO HOI ANAUMW ANAEND MKOANI ,KWA MAMA NI MZEE ANA MSHTUKO WA MOYO NAOGOPA KUMPOTEZA , NIKIMWANGALIA HUYU MTOTO NAZIDI KUUMIA MWENZENU NATAMAN HATA NIFE MIMI NA MWANANGU DUNIA IMENIGEUKA MIMI JANA NIMEKESHA KULIA MPAKA MSHONO UNAUMAðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
PS: Hii ni laana sijaelewa hii jamii inaenda
wapi kwa wenye tabia hii, nimeombwa namba za huyu dada sana ili apate msaada namba za ndugu yake hizi apa hana maisha akipata maisha yake atatoka katika hii laana na aibu ya kuishi na huyu mwanaume, atamsaidia mama yake ana atapata mtaji wa kuanzia maisha pia awe strong and independent woman.
+255 776 568 080



Maoni
Chapisha Maoni