NIMETUMIA MIL 2 KWA SIKU1 TU KUNUNUA MAKE UP NA SKIN CARE
Linapokuja swala la skin care and make up jamani i can spend , actualy ima big spender sana, for that napata matangazo mengiiiii sababu wanasema nina influence kweli, kabla sijalala nta recommend Product natumia , natumia sana scrub sababu mnajua mi nina ndevu kama 5 hivi, wanasema wanawake wenye ndevu wana bahati na sijataka fanya Permanent hair remover kama nilivyofanya kwapani instead nimefanya kwapana nimeacha ktk kidevu sababu ni kweli nimeona bahati sana na hela sio shida na zikiwa sijazitoa ndio napata deals balaa so i keep them ni ndogo yes na sababu mi kuweka mkono kidevuni si hio sababu hasa ni napenda sana kuweka mkono , cha ajabu sina alama mwili uso wangu ndio mlaini sana
ntashare natumia nini mpaka na umri huu nimekuwa mrembo hivi, I am going to recommend the Products i genuinely love.
Jaman kama unataka ngozi nzuri hasa Pambana , soko la urembo unaambiwa mwaka jana lilikuwa na thamani ya dola 130.5 Billion , that was 2021 tena hasa ni vipodozi , Mpango mzima Facial oils , sunscreen ndio uwiiii , Im using AHA RETINOL , USING Saie as serum, oil and moisturiserand sunscreen all in one , hii itafuteni mi niliagiza. Tena hizi Product nauza pia shopatdiva






Maoni
Chapisha Maoni