TUNDA KACHARUKA HATAKI KUSHINDANISHWA

Jamani sipendi Post umbea ila tuwe wazi Tunda ana hasira sana na haya mambo ya kumshindanisha na wema, yeye anasema kashaachana na whozu tena alimuacha mwaka sasa na wana mtoto mmoja na hawez mrudia , kwa haraka ni watu wanawatengenezea hawa watu beef, jaman leo nilikuwa na Mwanasaikolojia anaeitwa Amani Mwaipaja, he is a gifted mentor, hii ni mara ya Pili nakuwa nae na tunaendelea Pata darasa la Mapenzi kupitia yeye ....uwanja wa saikolojia uko upande wa wanajamii hasa wa mitandao ya kijamii wengi wana msongo wa mawazo, ukianza angalia upande wa wema na whozu wako very happy lakini wao kujua kwingi wanaanza wasema bila sababu , wao wamependana wao wao wanaumia na nn? haiya sasa wanaanza sema Tunda hivi na vile haya mwenyewe Tunda is very happy wao wanaumia nn , wanao run hizi Page za udaku wao tunaelewa umbea unauza sana so wako busy wapate views na matangazo ....jamii kama jamii iko busy watu wagombane wasemane wachukiane wachekane yan ovyo kabisa , by the way Happy October , I hope you all are having a great long holiday weekend! In addition to my usual weekly roundup make sure to scroll to the bottom of this post for a huge list of all of the best sales! Every retailer seems to be having some sort of sale and I've listed out so many favorites I know you all will love.

MNICHEK KWANZA NNA HOME GOODS NZUR SANA NOW NA TUNA DELIVER NEXT POST NTAWAONYESHA VYOMBO TOKA UK
 

Maoni

Machapisho Maarufu