Ceccy alikuwa hafui Boxer za Lukamba

 


sikuwa na Plan Ya Ku blog vitu za umbea ila as a Journalist embu let me do my job ..

naomba kwanza niseme I love both them equaly Yan Lukamba is My brotherrrr kabisa , Ceccy is my babygirl and Shuu Mimi is our baby Mama .. Ni hivi nimeona Interview Shuu Mimi akisema Lukamba aliwahi Mwambia Ceccy alikuw hamfulii Boxer lukamba wala kumpikia na vitu zote zilikuwa zinafanywa na Mdada wa kazi hio mmeiona?! Mimi nafanya kipindi Cha Mahusiano Na Lifestyle na kisaikolojia natumia taaluma Yangu kusema hawa watu They realy need a reality tv show ... Lukamba needs a good Production and bring us on TV to watch lifestyle yake i mean .. Im a fan ahaa na Ceccy alivyo Model na Lifestyle yake yan nyie watauza sana .. ila kufua Boxer kunaumiza mikono nyie acheni tu wanawake tumeumbiwa mateso!. cook clean give that man a good good Yo ... wanaume wana raha sana ... I believe in 50/50 in a relationship nikifua boxer zako na we fua bikini zangu apo ngoma draw 😁 ila this .. Lukamba Ceccy wanahitaj Ep 13 tu za kuuza Basi ... lamatah ambu fanya Jambo basi

Maoni

  1. Umbea mwingine ni wa ovyo kweli yani kama wa darasa la saba vile

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu