SHUHUDIA HAPA JASINTA AKIMCHANA LIVE CECY BAADA YA KUACHANA NA LUKAMBA
Jana kupitia lavidavi CECCY NA LUKAMBA Break up imezungumziwa na Jasinta na ameelezea jinsi ambavyo ceccy ame focus on herself after failling marriage , amesema nahisi Ceccy alikurupuka kuingia katika ndoa umri wake bado mdogo sana ana miaka 23 amekaa miaka 3 ktk ndoa ni umri ambao alitakiwa ku focus on herself more than anything



Maoni
Chapisha Maoni