Is Beautiful Kajala 40 or 38 ?! Read New Post
Jaman Nampenda sana Kajala sana sana , she is Polite and such a sweetheart ... sasa Okie Ni hivi kama nina tatizo na mtu sipendi kuingiza wengine ... ndio Mana Im
Positive about her .... someone says she is 40
not 38 ... Jaman she has a good body kaumbika sana na anapiga sana Mazoen....
watanzania age ain't nothing but a number ...
nimeona interview ya H.Baba namuelewa ndugu Yangu Hbaba ila sisi tu deal sana na Yule 🐀 Yule ndio katukosea
huyu Kajala she is very innocent hajatukosea
lolote ila Yule 🐀 Mi nna hasira nae sana yan!. anyways apa ni hivi eat good work
out take care of ya skin!. goals ..
kina Beyonce Kim K , Lala Anthony , Ciara zari on some early 40s but damn they look
good tatizo wabongo
mnapenda sana kujadili
miaka acheni ushamba😛



Maoni
Chapisha Maoni