DADA WA BANK AFUMANIWA NA MKE WA MSANII



KWANZA KABLA SIJAWAPA STORY YA MSANII WA KIUME NAOMBA NITOE POLE KWA SHISHI KWA KUBOMOLEWA SHISHI FOOD, JAMAN SHISHI WANGU POLE SANA NA MATATIZO SANA SANA SANA NAFURAHIA SANA UMEANZA UJENZI MPYA NAFURAHIA MIMI NA WW KILA WAKATI TUNAONGEA WW NI INSPIRATION SANA MY LOVE NAKUPENDA SANA SASA UMBEA MNAOTAKA UNAKUJA


By the way kama ilikupita Lavidavi Vs Mandonga!.

hii apa  ...

it was fun i laugh in tears ... 

Haiya wanasema Tanzania kosa vyote ila usikose bando,Jaman this is such a shame ,kuna dada anafanya kazi bank , unaambiwa anamuhudumia huyo msanii mwanzo mwisho mpaka kodi na mikopo yote ya ganda la ndizi, sasa juzi Mke katoka alikuwa busy na mambo yake msanii kamleta dada mlango wa nyuma kamuingiza ndani na yule dada anapiga miguu yote asichafue nyumba ya watu , mke huyo karud ghafla unaambiwa ilikuwa balaa ilibidi watu waingilie asepe na sidiria tu na nguo ya ndani kaendesha gari hadi kwake analia , huyo dada kanichek ananiambia hasara alizoingiza kwa msanii, ni aibu sana jaman kuna watu hawana haya yan ningekaa apa niwaambie ni nani hamtaamini , watu wanavimba mjini kwa hela za wanawake aibu gani hii jman , namimi sipendi kabisa Post umbea sema sababu unahusu Mapenzi basi hii ni angle inafaa kabisaaaa Mnamjua ni msanii gan anavimba basi mtajua ni yeyeee 


ila nimemshauri yule dada nikamwambia ndoa bwana zina raha na karaha zake usije ukakaa kabisa mtu anamponda mkewe ukahisi anakupendaaaaa atakutumia atarud kwa mkewe na kasema kweli jamaa saa hii kupostiana na mkewe na ku comentiana basi yeye anaumiaaa nikamwambia hakuna mbaya kwenye ndoa mpz ushaliwa relax focus achana nae!. ila kiukweli mwanaume akikupenda atakuwa na ww ata kumuacha mtu atamuacha ila kama hakupendi atakulala ataku block hatataka anything with you so naelewa maumivu ya dada sana maana hizi cases nazipata whatsapp mpaka nachoka sijui msanii flan hivi huyu hivi shidaah tafran




Maoni

Machapisho Maarufu