Diamond Platnumz is a Top Tier In Africa

 

Kulingana na mtandao wa congotoglobal umemtaja mwanamuziki kutoka Tanzania @diamondplatnumz kama msanii bora namba 3 katika orodha ya wasanii wa 5 Bora Afrika.  Nafadi ya kwanza imechukuliwa na @wizkidayo.
Swipe left kuona zaidi ➡️
#divatheebawse #trendingstory #diamondplatnumz

Maoni

Machapisho Maarufu