Kajala Vs Harmonize

 

leo ilikuwa ni back bandua issue ya Kajala na Harmonize toka asubuhi kupitia instagram , Mara Range Mara Paula Mara New baè ni balaa ... Harmonize baada ya kusema Range imeuzwa Paula Binti Wa Kajala aliingia insta live kuonyesha Range bado Ipo ila hakuishia hapo Harmonize akasema alikuwa baba bora kwa mtoto huyo maana Pia alijenga uzio wa nyumba na kumnunulia wigs na Pizza enzi za uhai wa Penzi la Mama Yake na Yeye cha zaid akaongeza toka 2017 alikuwa akiwasilina na mtoto huyo .. mambo ya leo ni mengi sana bloggers na Youtubers wameshinda wakiripoti , 

Ma Ex hawa wamerushiana vita ya maneno makali katika kurasa zao kuanzia jana .. Chanzo Ni Range na Kuitana Chizi.Mwenye Info zaid comment apo chini.

imeandikwa na Mdoe Hassan #Burudani


Maoni

  1. Anastahiki kuwa na mwanaume mwenye hela kwakweli

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu