MPENZI MPYA WA LUKAMBA ALIKUWA EX WA NEY WA MITEGO | MSIKILIZE HAPA
Hi, guys jana nimefanya interview na Lukamba na Mpenzi wake na amekiri alikuwa Ex wa Nay wa Mitego lakini Lukamba kasema anamheshimu sana Nay na hayo Mambo Yashaisha, lakini Pia lukamba amemwagia sifa kedekede nay kwa kusema ni legend.
natarajia kufunga ndoa na huyu mwanamke maana kanichanganya na nahisi kaniroga, nimemfungulia duka lenye thamani ya shilingi milion 70



Maoni
Chapisha Maoni