"NAPENDA MWANAUME MWENYE HELA, KAMA HUNA HELA BASI" - POSH QUEEN

guys mambo ni mengi sana , hii mmeiona? Poshy Queen is very free to talk about how she wants to be treated .... kasisitiza mwanaume awe na hela maneno kidogo , lavidavi hii ilikuwa tamu sana sana sana.
Napenda sana sana watu wanaojielezea hivi katika interview , apa amezungumzia ndoa yake ilivyovunjika


Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu