SKIN CARE PRODUCTS A DIVA WOULD PICK UP AT GLAM BEAUTY
hollah naangalia Picha nzuri za kupost maana Photoshodot yangu ilikuwa kidogo ya haraka maana nilikuwa shopping n my camera man took some few snaps ..
Ps:Kama Ilikupita
https://youtu.be/qfgUAJfle6E
Hey guys wuddap!.
Mrs abdul apa ..wa Kwanza na wa Pekee lol, anyways jus Diva here today we talk alot about the beauty Products recommended by my female gang wakali wa hizi kazi wazee wa shari za majini na baharini wazee wa kurudisha balaa na laana zilipotokea wazee wa kunifungashia mazawadi yamejaa the next video na unbox vitu kibao glad got youtube clip kiukweli haha .. kiukweli there's something to be said about skincare Products loved by the expects we all look to for advice, actualy having some new new maana tuko wawili ktk matumizi ...
guys tiktoks drugstore skincare recommendations za Marekani huko tumetafutaaa na finaly my sister ananiletea maana pia nna safar ya huko ntashop mpaka .. i needed to know what the expects had to say about ..
cerave
La Roche Posay
ROC
Amlactin
Aquaphor
Maana Hizi metumia sana na naendelea tumia na kiukwel my skin is on Point can't lie ina kaweupe ka njano kidogo afu kwa mbali Diva wenu mepungua so sina videvu viwili wala vitatu nna kimoja tu hivyo basi scrub iko PahalaPake atiiii..using Coffee scrub rn nzuri sana kiukweli inatoa uchafu sana got them glam beauty make up nzur mno.





Maoni
Chapisha Maoni