Incrediably Happy

 

toka Nianze badilisha maisha yangu na kuishi in my zone kiukweli nna furaha , sina cycle ya ajabu tena ambayo ilikuwepo baada ya mimi kufunga ndoa , all those miserable people no longer welcomed in my life. niliishi na watu wabaya wasio na utu na shukran na unyanyasaji wa hali ya juu i wil never change my story. hamna ata namuhitaj kati yao wanisogelee walinifilisi jaman walijua ninyonya damu kwa kuniomba misaada na hela na uzushi na uongo na fitna na shirki, wengine walikuwa na mkono kubeba nguo zangu vitu mpaka nguo za ndani kuibaiba vitu , kusambaza maneno ktk mitandao with fake accounts to battle for 15 mins of fame , sijui walihisi nani anaogopa sijui kupostiwa na mange sijui ushuzi gani who gives a fuck , michepuko who got dumps seeking for attention wenye visent vya kahawa Ma Ex jaman tafran sijui why niliruhusu watu wa kawaida ku mingle with me as a celeb ,
watu walitumia watu hela kulipa watu kunitusi and defame me Mtu Mzima Ovyo naskia aliwahi lia watu wakawa wanamsikiliza wana mu enjoy tu .. kuna mtu aliliaaa Diva Kapostiwa kampost uyo diva wake asa mamkwe wako alikuwa anaku enjoy na tena mbaya zaid ma mdogo ulikuwa unajichoresha sana who told you pesa inanunua mapenzi? njoo uone asa luxury life mwenzio naishi na kama walikujaza una hela walikuwa wanakuchuna πŸ˜‚πŸ˜‚na Pete Ya Kujivalisha nasikia ulitaka ulipe posa na mahari uoleweee kikwapppp wanaume si watu ma mdogo mtu hedhi inakaribia kukata unahangaika na watoto wadogo subhanallah!. Yan saa hii umedhalilika na kufedheheka unachekwaaaa na ulikuwa desperate we ujana wako ule na nani uzee wako umalizie na vitoto πŸ˜‚ nimeandika jana baada ya kuona message zako za kutuma watu wanitusi na miamala ma mdogo unaanikwa sasa .. ndio ujue walikuwa wanaku enjoy nilikwambia punguza speed kuna wenzio zamaaaaan walikuja kwa speed ka hizo aaah wapi wakaishia pua so that family knows how to drain trust me hakuna akikuwa anakupenda watu walikuwa wanakutumiaaaa!.
kufedheheka na kukanwa juu damn i feel sorry for you yan leo nimeamua kuandika sababu jana wenzio walikuwa wanapigiana simu wanakuelezea ulivyokuwa unajitutumia na na kishengo chako ka kuku!.. na unaongea ka kibibi aga afu kiingereza chako na kusafiri kote huko stil you have grammar issue stak mie unaongea kingereza cha sekondari za kata πŸ˜‚πŸ˜‚
ndio ukome kiranga komo lea  wanao now kitulize maana umevuliwa nguo na ndoa hukupata na kuchunwa ukachunwa kuachwa ukaachwa mchana peupe yan kale ka kavideo kalikukatia na ticket ya uzeen tafuta next kiben10 ulee au tafuta wazee wenzio ukawape hio miziwa yako na flat matako na mindevu ka beberu , oh gorofa bmw mavii wenzio tunajenga Gorofa  na hatuna ata hio 36 yet yan after today sikupi airtime tena na najua unafatilia utasoma Mama wa solar eclipse mafiiii ulijua kunifanyia ubaya akat hayakuwa yananihusu wakati unapanua miguu unasuguliwa nilikuwepo? kwann ulileta dramaaaaa kwa mitandao maana kuna miamala hadi ya hela ulikuwa unalipa nisemweee aya Mungu Kakupiga kibao saa hii watu wamekulala na bwawa lako na umeachwaaa πŸ˜‚πŸ˜‚ nimejisikia leo kukunanga maana najua umetembeza block kwa wale walikuwa wanakusifia walikuwa wana ku enjoy kuna familia sio za kuzishobokea umeharibu cv , oh usalamaaa mie usalamaa wanasemaga? yan watu wame ku enjoyyy  ... ila after all that baada ya siku wenyewe wana confess wanaomba msamaha hivi wa kusamehe nani mie Diva .. Mpite kuleeee ...
I am a celebrity and acting like one stak uchafu in my life ma wifi sijui ushuz gan sijui kina nani shem za unafik stak kenge maji nyie  .. mtanisikia ktk bomba Golden chance hazijagi mara 2 mmechezea shilingi choon levels au sio!. 
aisee Mungu Wangu ana nguvu hajalala wallah maana ni one by one anahangamia na wataangamia mpaka siku ya kufa. i swear ..kila nikikaa nikiwaza yale Maisha nasema  Mungu Niepushe nao siwapendi nawachukia all of them sipendi watu toxic in life those ni wale wa ku drain, Diva Mchafu Diva sijui fake Diva sijui whatever nyie mnaishi in one bedroom mnajua usafi ? embu lipen kod za maana ndio mzungumzie usafi kwanza one of the thing napenda is usafi mtu una chupi ka fuko tumbo kaa ndoo unanizungumzia mwenzio ambae end of the week nna hela nalipwa end of the month nna mpunga nalipwa na bado acc kusoma hela zinazotumwa toka nje ya nchi mtaniweza and silei mtu yan nalelewa mkikuwa mnachunwa napewa mimi documents zote jina langu mimi mngecheck
kwanza recepts kabla ya kuhangaika na mitandao aya kiko wapiii ?!  πŸ˜‚πŸ˜‚ anyways sipendi ongelea or kumbuka coz shit aint worth my time right now ila mmeumbuka vibayaaa .. Mungu tu jaman ombaomba kaz mnayo!
so toka ni date pesa sasa napendeza na tena na enjoy .. account inasoma na mwil uko kilo70 na nna waka yan nna raha and livin in a fablane ...
 kila siku nasema Asante Mungu kwa kujitafuta na kujipata aisee , no longer the same Diva yan upgrades you kno!. 

very happy with my life n Peace and Protecting my Brand the way i want to ...  na apa nimemaliza nililotaka kukwambia ukome next time wenzio tumeaga kwetu hakuna mganga wala shekhe anaeza tupiga kitu kikaingiaaaa ... watu tuko very well Protected aya kachambisha mama chalinze utulize kinyeo


discovered Happiness can be found in small moments.

for example being a  yanga fan makes me happy, thanks Ali na viongozi wa Yanga for this amazing moment .

it was Pleasure foreal. 

it sounds clichΓ¨ but nowdays we don't need much more , no idea if Im getting old or have started to realize that free time and enjoyment in life in life is very important 

Maoni

Machapisho Maarufu