ALINISALITI , AMEOA SASA - LINAH

 

Hi guys leo was busy nilikuwa nashushulikia google ads glad we good to go Money on the table!.
Jaman on lavidavi niliongea na Linah vitu kibao ikiwemo why alitengana na Baba watoto wake, anasema usaliti Mwingi na lifestyle ndio chanzo na mpaka sasa hataki kuishi na Mwanae sababu ya lifestyle yake Pombe Nyingi vibe nyingi hivyo mtoto wake anaishi kwa dada yake kwasababu hio.

"kuna siku nilikuwa nae ktk gari akaona Chupa Ya Pombe alikasirika akaenda sema nyumbani Kwamba Mama anakunywa Pombe" 

Linah Pia ameniambia Baba Yake amemsihi asimvue nguo na mavazi yake .. akamalizia ana nguo za kuogelea karibia 50 sababu anapenda kuogelea sana sana sana sana!.

Maoni

Machapisho Maarufu