Beyonce Sasa Kuja Na Short Film

Hi Guys welcome to My blog ,
New blog Post leo is about Beyonce.
Wale Mashabiki (Beyhive) Beyoncé amefichua kuwa filamu inayotokana na "Renaissance World Tour" yake itaonyeshwa sinemani mwezi wa Desemba na itawapeleka mashabiki nyuma ya pazia la ziara yake ya kimataifa.
 Renaissance World Tour itaonyeshwa kutoka mwanzo wake hadi onyesho la kwanza huko Stockholm, Sweden, hadi tamati kubwa huko Kansas City inasomeka katika taarifa ya vyombo vya habari kuhusu filamu hiyo,
Nia kubwa ya Beyoncé ni kuonyesha kazi ngumu ya jambo hilo na kujihusisha katika kila hatua ya uzalishaji, akili yake ya kisanii na lengo lake la kuunda urithi wake na kudhibiti sanaa yake ndio Maana Binti Yake wa Miaka 11 Blue Ivy Carter anaonekana akiwa na Mama Yake na Familia nzima ikimsapoti Mwanamuziki Huyo. 
Hii ilikuwa ni siku Ya Birthday yake ya Miaka 42 Baba Na Mama Yake wakimpa Mabusu Motomoto yan hadi raha nyie 
This dress aisee My fave na hizo nywele navyozipendaga Jaman Blondy looks good on bey.
Imeandikwa na Diva Billion Dollar herself 

Maoni

Machapisho Maarufu