Fashion

 

Morning guys , weather so Perfect Mvua ..

anyways tuna sehemu Ya "Fashion" na huyu ni kendall  Jenner akiwa los angeles (LA) look at her ootfit and miwani she looking good 

thing i love kuhusu hawa hawabadil sana nywele style ni hiohio kuanzia kim , kylie , khloe , kourtney even yeye kendall mwenyewe ... means kwa sisi watu wa mawigi hutakiwi chezea hela unakuwa na wigi lako moja au matatu yanafanana aaah kaz ni wigi then kwenda saluni kuosha wig and hair treat na maisha yanaenda!. thnk i need to stick into that ahaha

Maoni

Machapisho Maarufu