MPISHI MAARUFU DUNIANI AFARIKI DUNIA
Maskini , i always watch Food Network kwa ajil ya kujifunza kupika vitu mbalimbali ,
anaitwa, Michael Chiarello, chef maarufu aliyekuwa akionekana kwenye Food Network, amefariki, familia yake imetangaza. Alikuwa na umri wa miaka 61.
Chiarello alifariki Jumamosi katika Kituo cha Matibabu cha Queen of the Valley huko Napa, California, ambapo alikuwa akitibiwa kwa wiki iliyopita kutokana na athari kali ya mzio ambayo ilisababisha mshtuko wa anaphylactic. Alikuwa amezungukwa na familia na marafiki.
Mungu amuweke Mahala Pema Amina🙏



Maoni
Chapisha Maoni