PAULA NA MARIOO NI LAUNCH YA DUKA AU GENDER REVEAL?

 

Sema watanzania seems wanajua kila jambo la mtu ...nimepost insta this story hizo comments damn kila mtu yuko kwa business ya mtu ...
😂 to start with just Posting zinazotrend only Umbea hapana ingawa wapenda umbea Human Interest inawahusu .. ila inasemekana Paula anafungua Duka Sinza na Je Ni Duka au Ni Mjamzito kweli ?!bwana any story is a story as long as doesnt hurt ....

baba levo kasema mtoto inasemekana wa kiume au sio ?! genderreveal za instagram.

kila nikipost mimba kuna watu wanasema bado wewe .. inshort mi naamini wakati wa Mungu Ni sahihi not even close to 40 so yote yawezekana kwa Imani na uweza wake isitoshr kizazi changu kiko vizur tu siku ntawapostia nikijisikia majibu ya hosp au sio ili midomo iwazibe!. all in all ...

Hii Couple mnaipa asilimia ngapi jaman ..

Good thing about blogging unaeza andika gazeti ka lote hamna limits and i love it here .. so cozy 

yan mambo ni mengi muda mchache kama hakutakuwa na mimba watu mtaongea sana sana sana but inside stories ni kuna mimba kubwa tu mtoto Pau kama Kylie Jenner!. 

Maoni

Machapisho Maarufu