BABBY NO 3
Je ataendelea na kazi za sanaa ?!
Mwanamke Mpambanaji na Muigizaji Mfanyabiashara Jackline Wolper ametangaza kutarajia kupata Mtoto wa 3 na kuzusha gumzo kwa Mashabiki kwamba kama kweli Mtoto huyo anakuja Je yeye wolper ataendelea na kazi za sanaa ?! baada ya Post hio Mashabiki wengi wamehoji kama ataweza kumudu Majukumu Ya Kuwa Mama , Mke , Mfanyabiashara na Muigizaji.
Je unahisi anaweza endelea na Kazi za Sanaa ?!



Maoni
Chapisha Maoni