BALANCE SHOBO KATIKA MAHUSIANO
hi guys .. wagazeee!.
leo kuna vi tips flan vya lavidavi hapa ' Jinsi Ya Kubalance shobo katika mahusiano ata katika Maisha jifunze kubalance shobo itakusaidia baadae wote tumejifunza ktk maisha watu si watu watu wana sura mbili hawa wapenzi kwahio Play the game .. Balance shobo ,kingine ukipata mtu anaekusaidia ktk maisha ata kidogo mshukuru sana kuna watu wanakaa wanakuangalia ukihangaika na Paying bills , alot of dudes will watch you struggle, so appreciate a good n real ones ....hii ni kwa mabinti ma single mother na independent .....



Maoni
Chapisha Maoni