CHINO KID YUKO MUHIMBILI

 

hi guys kiukweli hii ajali imeniuma sana know Chino miaka karibia 7 years mdogo wangu pole sana Poleni na msiba Maskini Nabeel Mungu amuweke mahala pema peponi Chino Kid yuko Muhimbili anaendelea na matibabu na hajambo.

wengine wamevunjika miguu na taya.



Maoni

Machapisho Maarufu