HAMISS WA BSS AFUNGUKA KUCHANGWANYA NA PENZI LA MZUNGU

 hii kama ilikupita iangalie yan nilitaka kucheka sna this guy funny af yan anavyomuongelea mpz wake mzungu na familia yao huko mtwara wanavyoona zali la mentali aisee nilifurahia sana kuwa nae yan after lavidavi he was fully booked for interviews!. mnajuaga some of us tuna mikonon ya dhahabu

Maoni

Machapisho Maarufu