Heys Nna Kaneno Ka Shukran Jaman

 

hey hey hey.

Nachukua nafasi hii toka Moyoni kuwashukuru wote mnaotembelea My Blog aisee .. Thank you to everyone visiting My blog! It's great to see people interested in what urmmm sharing. I'll Keep providing engaging content, and definitely continue to attract more readers 

😊

apa nnavyoandika kuna watu almost laki3 online sasa na kila siku namba inazid kupanda nafurahia sana i started blogging 2008 sadly nili lose domain ya diva255 but we on divatheebawse.com sasa na tunaendelea tulipoishia!. kwahio nyie washamba wa mitandao unamuiga sijui Mangee sijuii naniiii uyo mnamuabudu nyie mi namuona wa kawaida sana tu yan sina shobo nae ndio maana huwa namjibu na namchezea akili zake sometimes namu enjoy akinipost hivyo tulizen mishono niko ktk hii game miaka 15 sasa na haogopwi mtu na kaz inaendelea haina kuveraa aah!. 

Najitajid sana kuwapa hitaji la mioyo yenu ingawa mi sipendi chafua watu stil nna style yangu ya uandishi ambayo inaendelea tengeneza audience yangu nilioitarget kwa blog yan pambeee tu na sicharge isa free ride bureeee , making money kupitia  ads n sponsors washaanza chop in . feels good!.

yan mi ni yule dynamic individual interested in various topics including celeb gossip , aspire to be financially strong and pursue a career as a brand strategist. 

stil got time to be at Wasafi Lavidavi Hosting a show mpaka sita kamili usiku wengi mmenijulia huko Personaly i sel lifestyle ndio mana mtu akitaka atrend anamgusa Diva yan nna nyota ndio ivyo .. but I am an Entrepreneur and 85% ya Maisha Yangu ni biashara nnazofanya napunzika weekend zaid but stil leo nna laptop yangu nimekaa nawapa updates mjue kias gan nawapenda followers wangu wazur wazur ... 

Ps: Planning kuanza a small thing for my Youtube nimeagiza vifaa toka Marekani vinakuja nataka Youtube yangu ichangamke ili end of the week niwe na drop vi content flan ivy amazing hivyo tushaanza subscribe to My channel Pls😁

So welcome to the little corner of my internet and enjoy the creative writing skills 😂

again, Thank you so much for all those visiting my blog, Divatheebawse.com

I truly appreciate your support and the enthusiasm you bring. It's because of you that I feel motivated to keep sharing my content. I hope you're enjoying what I'm putting out there, and please continue to help spread the word about my blog. Thank you again! 😊🙏

#Lifestyleblogger 

Maoni

Machapisho Maarufu