HONEY NA WALIMU NA WANAFUNZI
huku ktk blog kuna raha unaweza andika gazeti refuuuu wakati wa uandishi wa habari na vile mi napenda andika aaah!.
Jaman Zuchu Ni Kipenzi cha watoto na wanafunzi sasa nimeshang'aa unasimamisha watu kazi kwa kucheza honey kweli jaman umeme hakuna majumban mgao barabara mbovu mvua zikinyesha miundo mbinu haieleweki ajir shida uchumi wa dunia unayumba nchi ina matatizo mengi sana .. huwa kabisa mnawaza matatizo ya wananchi kweli ? unaambiwa Honey ya Zuchu, Buga na Cough ya Kiz Daniel Wanao watazijua tuu na kuzicheza, utake usitake, kwanza huyo waziri mkenda ni nani jaman unless alitaka atrend, mbona ktk mikutano mingi ya serikali wimbo unapigwa? nasikia Zuchu katoa Milion 5 kwa kila mwalimu alieshushwa cheo huko ruvuma nyie Zuchu Is a whole mood haya tupate burudani
afu nimeona sehemu Hii habar nimefurahia!. Maana nawapentaaa
Tanzanian singer Zuchu posted a late-night Snapchat video where she was seen giving Diamond Platnumz a foot massage and enjoying their time together.
In a playful tone, Zuchu mentioned in the video that if they were to have a wedding next year, Diamond would become a father.
She said affectionately, "Endapo Tutafunga Ndoa Mwaka Ujao Utaitwa Baba Rouhy Huyu kaka ni udhaifu Wangu akisema jump nauliza how high."



Maoni
Chapisha Maoni