KAREN WA JUX MJAMZITO

 

Hellow Good Morning Saturday vipi ?  nimeamka by saa mbili to fix my morning tea!. breakfast is a must to me , now wambeambea is it true that Karen Bujulu na Jux wanategemea mtoto ? nimeona katumbo kamepop afu wanaitana baba k na Mama K , sema Jux anastahil mtoto , yan mi nnavyotaman mtoto nawaza kwenda zangu nje ya nchi huko niwe treated for a month nishughulikie mtoto maana kizazi changu yan kiko healthy kabisa yarab. niwe na mtoto nimpandishe kigari chake nimuendeshe hahaaa .. anyways so happy for them wanaonekana wanapendana hadi raha!, kila mtu apa ka move on

Maoni

Machapisho Maarufu