LORI HARVEY KAACHANA TENA
kuna mengi usioyajua kuhusu Lori Harvey Ngoja Nikufahamishe. Mahusiano yake yanavunjika sana , lakini Pia Ni mtoto wa kuasili (adopted) lori na ndugu zake wawili Morgan and Jason ni watoto wa kambo wa Steve Harvey na aliwaasili baada Ya Kumuoa Mama Yao 2007
kwann Mahusiano Ya Lori Harvey Yanavunjika sana ? ushawahi Jiuliza ? Basi Ni hivi Husiano Lake Jipya liko chali Mpaka sasa , Mrembo huyo Mwenye kupenda Mapenzi na tendo lenyewe ni mtoto wa Nyota Maarufu Mchekeshaji na Muandishi na Mtangazaji wa TV Steve Harvey ambae amekuwa mara kwa mara akiongelea mahusiano lakini cha ajabu mwanae mwenyewe amekuwa akivunjika na mahusiano mara kwa mara.
Harvey na Michael B Jordan Break up ilishtua sana baada Ya Mwaka Kuisha kuachana Maana walikuwa wanapendana ,
Mwanadada huyo amewahi kuwa na Mahusiano na dutch footballer Memphis Depay , RNB singer trey songz , Music Mogul P Diddy , Rapper Future na kulikuwa na tetesi Pia za yeye kuwa katika mahusiano kwa siri na mtoto wa P Diddy Justin Combs lakini pia amewahi toka na Formula One Driver Lewis Hamilton,
Lori is a Capricon and she is only 26. tayar wawili hao washalimana UNFOLLOW on instagram!.
Nyie Jana Ilikuwa Lukamba na Ceccy leo Lori Harvey!. sema she is Pretty and her net worth is $1M aisee Nampenda Lori Mimi kiukweli



Maoni
Chapisha Maoni