MR & MRS
heys we both here for the Tea right ?! but Im not into Tea anyone ?! aaah Im here for lifestyle in a special way , i love zari you all kno dat .. Rasmi Zari Hassan na Shakib Cham Lutaaya ni Mke na Mume haya hii apa Zari and Shakib Uncensored
isa wakanda forever thingggyy!. nadhani tuliona video ya harusi yao ilioonyesha Shakib akila kiapo kumvisha Zari Pete kabla ya wageni kupiga makofi Wawili hawa walifunga Pingu za Maisha katika harusi ya faragha ambayo ilifanyika Jumanne huko Africa Kusini na Walikuwa Wachumba kwa Mwaka Mmoja.




Maoni
Chapisha Maoni