MTAJI MILION 24


 hellur guys kama nilivyowapromise hapa patakuwa hapakauki habari yan ni mwendo wa Zinazotrend kwenda Mbele au ntazitrendisha mwenyewe maana nna mkono wa dhahabu.

anyways Jaman msidhani biashara ni kitu Rahisi ni kaz sana sana na inahitaj commitment kubwa as an Entrepreneur naelewa hizo numbers Mil50 sijui 100 ni hela za kawaida sana .. sometimes tukitaja figure kwa haraka tunaonekana waongo ila kwa kuzichanga na kuziweka mezani no wonder tunaingia Premium Pale CRDB this is real life.

Ni hivi ... Nai Mpaka Mnamuona Pale duka Lake aliwekeza Mtaji wa Mil24 ...  Mimi huwa na shop sana dukan kwake if i need a quickie young look i go there ... i do my shit i pay then yule  na ana vitu vizur Mashallah


Maoni

Machapisho Maarufu