NAIRA MARLEY YUKO HURU

 

Morning , Jaman finaly Naira Marley Yuko Huru , Niliwahi Kupost instagram itakuwaje akikutwa hana hatia wajuzi wa insta na stress zao za Maisha wakanivamia. 

Acheni Ku accuse watu jaman haya walimchafua wee huyo apo yeye na huyo sam larry wako huru na wameanza onekana mtaani wamekutwa wako clean aya mtamsafishaje?! wametimiza Masharti Ya Dhamana Kama ilivyo sheria Naira Milioni 20 na hii ni baada ya kuhusishwa na Kifo Cha Msanii Mohbad kilichotokea September 12 Mwaka Huu



Maoni

Machapisho Maarufu