NANDY BABY NUMBER 2

Akiwa ni Mwanamuziki Mwenye asili toka Tanga aliekulia Upareni na kusoma Moshi na kumalizia Elimu Yake CBE Dar es salaam na wengi kumfahamu Kama Binti wa Kipare Nandy anaachia ngoma Mpya very soon ikiwa na vibe la kutosha kabisa. 

Niwape historia yake kidogo , ukitaja Jina Nandy basi unamzungumzia a talented Tanzanian singer and songwriter known for her beautiful voice and captivating performances. ๐ŸŽถ๐ŸŒŸNandy has won numerous awards throughout her career, including multiple All Africa Music Awards and Tanzania Music Awards. She's definitely had quite a collection of accolades! ๐Ÿ†๐ŸŽถ
tetesi za watu wa karibu wa Nandy Ni Kwamba anatarajia mtoto namba 2 .. Je Ni Kweli ?
Nandy aka The African Princess Mwanamuziki Mwenye Followers 9.1M followers Hatarajii mtoto namba Mbili amethibitisha "Mwanangu ndio Kwanza anatambaa"
akiwa ameachia Yamenishika Lyrics Video Nandy ameendelea kufanya vizur katika kazi zake hivi karibuni akiwa ameachia ngoma na Mimi Mars na kuonekana kupendwa zaid Mashairi yake katika Ngoma Hio inayoitwa " POLE "

akiwa na umri wa Miaka 30 akiwa amezaliwa November 9 huko MawenziMoshi Tanzania Mwanamuziki huyo ameendelea fanya ngoma zake na Challenge Yake akiwa ndani Ya ndoa yake na Mwanamuziki Billnass na hivi karibuni ametangaza ujio wa ngoma yake Mpya "Kwamanati"
Nandy, ambaye pia anajulikana kama Faustina Charles Mfinanga, ni msanii na mwandishi wa nyimbo kutoka Tanzania. Alianza kujulikana baada ya kushiriki katika kipindi cha televisheni cha Tanzania kiitwacho "Tecno Own the Stage" mwaka 2015, ambapo alionyesha uwezo wake mkubwa wa kuimba. Tangu wakati huo, Nandy ametoa nyimbo kadhaa zilizofanya vizuri, kufanya kazi na wasanii mbalimbali, na kupata umaarufu mkubwa katika Afrika Mashariki na zaidi. Muziki wake unachanganya vipengele vya Bongo Flava, Afrobeat, na R&B, kuunda sauti ya kipekee na yenye kuvutia. Anaendelea kufanya vizuri katika tasnia ya muziki kwa vipaji na ujuzi wake. 

Nandy Ni Mama wa Mtoto anaefahamika kwa Jina la Naya na ameolewa na Mwanamuziki Billnass ambae inasemekana wanatarajia mtoto wa Pili ila Mwenyewe amekanusha tetesi hizo na kusema Mwanae ndio Kwanza anatambaa!.

Ps : My fave song - Nikumbushe Nandy 

enjoy 






Maoni

Machapisho Maarufu