HAKUPENDI ACHA KUJIPENDEKEZA


ushawahi sikia value you as a Person?ni neno zito ryt? alikuwa anakutambulisha kama sio Mpenzi wake maisha ya kujifichaficha anakutambulisha kama rafiki ake yan anakutaja na jina jaman huyu mteja wangu aaaah jaman kampost mke wake unaliaa aaaah jaman kampost uyo mke wake my dear hakupendi Punguza shobo. 

Nina story wa mwanamke aliejitoa na kuroga awe na mwanaume mwanaume akamchezea akamchuna shwaaa akamuacha afu ni mtu mzima ana ndevu shingo fup mbayaa haswaa tako pasi minyama mgongon ziwa gotini kijana ana miaka 30 jamaa limama lina miaka 45 hedhi shwaaa mbayaaaaa sura hana  , sasa ni anaji commentisha na kujichekesha ka malaya wa pongwe anataka trend akat ukweli alifedheheshwa alichoreshwa na kuondoka kazin kwa aibu za kujipendekeza kwa mme wa mtu , akahama na mkoa akijitia kaolewa jamaa akasema sijaoa mtu nna mke mmoja tu jamani wanawake wengi huishia kuhonga vi laptop on his birthday same laptop kapewa mkewe na jamaa huku akisema kanihonga chukua mke wangu na akaachwa mataani na kuhonga hela za kununua kiwanja yan hela kiwanja kina jina lake na mkewe ila upo tu unazidi jichoresha , umefanya kila kit umeachwa labda sasa unatafuta ka kiki kadogo ka kujichora zaid maana na ka block umepigwa .. wanaume wana moyo wao binafsi wa nani wanampenda he doesnt want you, acheni kuhonga kwa mwanaume ili awe na wewe na kuroga pia hakusaidii lakini ushawahi sikia mwanaume huyu yuko proud kuwa na wewe?  ,  akikwambia sikuhitaji kwa ukimya wake na dharau zake unaelewa au Mpaka akwambie , haya kukwambia pia kakwambia bado tu ubadanganya watu, haya na kwa wanaume sasa kuna mwanaume alinunua kiwanja na kumjengea mke wa mtu hivi naongea na nyinyi nyumba yule mwanamke anaishi na mume wake 😂😂 imagine , kuna alitoa kiwanja Mil5 aaah subutu a town kwangu now kiwanja nnacho na nnatamba nacho mambo ni mengi muda mchache!. 

Jaman Mwanaume ambae hashughuliki na wewe ni asiekuhitaji, hakutaki simply and plain you got played and it never gets  better my dear shobo zako wil never never work mwanaume asiekupenda anaonyesha tabia na matendo kwako yanaongea zaidi and has nothing to do with you, doesnt have anything to do your  value you as a Person, why you cant cut losses and go , maana hela zako kala vitu vyako kaandika majina ya mkewe na kakupiga kibuti kakuvua nguo and he doesnt share anything with you upo tu unahama leo huku kesho kule sad part is unajilizaaaa 😂😂😂 nacheka kama mazuri jamani never beg anybody to lose you walk away hakutaki sema apa namsema kijana mmoja kaanza kaz kamuhonga hela zote mwanamke wake mwanamke kampa boyfriend wake jaman msi force mapenzi mtaendelea kudhalilika tumia akili sio makalio Mapenzi konyoo.

Ps: soma Hii mtu anaomba ushauri.

Hlw diva mm nipo Qatar nimepata mwanaume Facebook yupo dar ila na mm kwa Tanzania nakaa dar..tunamiez nane sasa kila sku hasubuh akienda kazin ananipigia na akitoka ananipigia usk tunapiga story hadi mm nimuage ndio nalala kiukwel hajawahi nioneshea kitu kibaya hata siku moja  na ni mtu wakunifatilia sana Facebook kwa marafiki zangu kuuliza kama huyu bint yupoje inshort ananifatilia sana had nina wasiwas ..tatzo lililopo  ameniomba nimsaidie pesa  kuna inshu amekwama kama elfu 80 ..je ni Sawa kumpatia?!




Maoni

Machapisho Maarufu