NIKO POA NA KILA MTU

 

Hi guys kiukweli i don't like Harmo alinikera sana sana sana sana sana tena sana .. lakin i want my blog kutokuwa na upande no bias as a journalist nataka kuwa nawapa vitu vitamu so ntaweka kinyongo nae pemben as i don hold grudges we all human watu wanakosea so Ima move on from there n let me do my job now .. so took some time off to watch his interview na moja kati ya vitu amesema yeye yuko single hii ni baada ya kuulizwa swali kuhusu Hamisa .. 

akasema yeye na Rayvanny wako Poa pia wanakutana sehemu mbalimbali na kasema pia ye na Blevo Ba wako Poa as well .. Babalevo kweli? 

nilisikiliza na kuangalia interview ya Hamisa ambayo anasema collabo yake na Harmo bado Management wanashughulikia!.

i like Hamisa akifanyiwa interview majibu yake yako very 50/50 hahaha anyways jaman wapenda burudani na mashabiki zake kuna ka collabo kanakuja sijui kweli au sio kweli ila nimepost habar yake haya furahini maana kuna watu wanan dm jaman kama unatoa habari acha upendeleo haya hio apo .. Ngoja kwanza nile chakula nimeagiza sea food lovers nikimaliza nimpigie Babalevo anipe maelezo vizur maana khaa

Maoni

Machapisho Maarufu