PUMZIKO JIPYA BAADA YA VERA
Unaambiwa huyu ndio demu Mpya wa Brown Mauzo Baada Ya Vera Sidika baada Ya Kutengana kwao. Brown Baba wa Watoto wa 5 Pande za 254 hacheleweshi yuko busy na vile namjua he is always on to the next one ...
ameandika "Nia Ni Kutengeneza na Wewe Maisha Kukuwa na wewe na kukuoa" akaendelea not dating to waste time i see everything i want in you. My love chiii amemalizia.
inasemekana huyo dada Pia ni Rafiki mkubwa wa Otile brown huko Kenya. wait kuna ka video nimeona vera na burna boy nani ana full info pls ni dm insta ntashukuru nikipata ka video
Je is this the new love interest ?!




Maoni
Chapisha Maoni