SHAPE YA AUNT EZEKIEL
Morning .. Nimeona Mjadala wa Shape Ya Aunt Ezekiel Instagram. Nikasema nitaandika nimefahamiana na aunt Karibia Miaka 20 iliopita tip top connection alikuwa akiishi Magomeni Kagera nakumbuka ata kwake tulikuwa tunaenda na Ksher na wasanii wa TIP TOP , alikuwa mdada flan ana shape nzuri sana ila alikuwa Mwembamba , sifa yake ilikuw shape na rangi ya ngozi yake na Macho Pia walikuwa wanasema ana macho makali. wanaomzungumzia aunt leo hii sijui surgery wamemjulia insta sijui lakini labda sababu kazaa na yuko vilevile ila kwa aunt na kabila zake mbili kuwa na hio shape sio jambo la ajabu , sisi tulikuwa shule kipindi hicho yeye anajihusisha na urembo kipindi hicho alikuwa sisterdoo flan ivy matata .. nina hakika 100% hakuna surgery. ok kasafiri lini ?! kila siku tunamuona labda kimyakimya either way kuna ubaya gan mtu akifanya surgery mbona siku hizi kawaida sana ila nyie she is Pretty the real definition of black beauty!.



Maoni
Chapisha Maoni