SHOGANGU ANAOLEWA
Nyie Maisha Yanaenda kwa kasi sana shogangu hudah anaolewaaaaa December Harusi tunayo na tunatamba nayooooo yan Huddah jaman kajua ku set Maisha yake on fire balaa .. Haya Kaka Huyo Mzungu sijui Persia anatokea Ka Propose na goti chini kapiga Nyie Moment hizi nzur sana zile za wil you Marry me
The Red N The Black aaaah tramuuu wamependezana Buana au sio sema haya Maisha sometimes ndoa watu zinawapendeza imagine her being the housewife mi naona itakuwa Pambe au?!
Apa dubai afu kuna mtu kani dm insta nikupe sijui story za Mastar wa Bongo wanaoishi dubai jaman mi stak matatizo na watu nna kipindi cha radio stak kukosa interviews kisa umbea wa insta hapana .. ooh!. 😂😂





Maoni
Chapisha Maoni