SIKWENDA KWA MANARA USIKU ULE
Nyie wanasema sijui usikose bando mjini kwakweli, Mambo Ni Mengi sana sisi watu wa Media ndio content zenyewe hizi.
anyways sasa mkiona ile video Manara anapapasa ka wowowo ktk mduara na mtoto mzuri ?! ile siku mnajua alimvua hadi mabuti pale, My brother El Bugatiiiii wee na watoto wazuriii walah mchawi nyota.
Mnajua Baada ya ndoa ya DULLA MAKABILA na ZAYLISA kuisha tumeona mengi mjini instagram maana ilikuwa ni ndoa fupi kupita ya Kim Kardashian.
sema ile video iliowacha watu midomo wazi ni video ya zaylisa na manara siku ya event ya dvoice watu walikuwa wanamtag Dullah Makabila sana ila waja .. mna vimbelembele akati mna yenu yamewajaa kila kona mna matatizo mpaka ktk kope ila msione choo mnabanwa ... dah umbea hii nchi umekuwa kwa kasi sana aisee khaa!. imagine nilikuwa nimelala zangu ile siku , nilipigiwa simu ni post zinazotrend and wanted kupumzika nikasemaa aah ntapost nikiwa free aisee nna kaz mchana nna kazi usiku hapana sitaki kuji overwork akuuu ...
lakini sasa tuendelee tulipoishiaaa .. nimeoka ka interview flan Pambeee ..
swali ni JE UKO TAYAR KUISHI NA MANARA ?! Roja Mastory katupia swaliii , akajibu (zai)
Ndio si Mwanaume ameonekana akimjibu Roja Mastory ktk interview yake na Carry Mastory tv jamani sema anasema ile siku hakwenda nae nyumbani kwake , ila alienda nyumbani kwake siku nyingine kabisa kuna comment niliona mtu akisema usiku uleule watu walizagamuana mwenyewe kakanusha kasema hapana siku ile baada ya ile video hawakwenda kwa Manara, nilikutana na mingo this night mingo alikuwa mpiga picha wangu as well sijapiga nae ata story ntamuita lavidavi youtube ikiwa fresh ili nimbananishe anipe full story the show is about relationship so tutayajenga maana alishaongea kote ila mi ni mkono wa dhahabu nawahakikishia atanipa exclusive ahaa sema love is a beautiful thing ingawa sometimes mizinguo sana ila ndio hivyo hakunaga theory in this , it has no formular i tell you. inapiga watu vitu vizito sana love. love is just love



Maoni
Chapisha Maoni