ARUSHA SOMETHING BIG IS COMING SHOP NOW

 

A town mambo vipi? sasa ni hivi , watu wa arusha hii week nzima nahangaikia frame huko near that mal, nia ni kuhakikisha mashabiki zangu wanapata bidhaa zangu bila kusubiria kusafirisha.

so happy and excited sababu sasa ninawafikia moja kwa moja jana nimetumiwa frame ambazo leo jion nafanya payment na cant wait to come n launch.

vitu zangu ni nzur mno naangalia sana quality before sijapost product na nahakikisha unafurahia sana 


Maoni

Machapisho Maarufu