WENGINE TUNAANZA USIKU WA MANANE

 

Deckysonreal atakuwepo katika access to get training workshops, Panel discussions , keynotes, Networking Sessions, exhibitions and showcases , he is a new talent and he has a lot to learn nafanya Kazi nae Kama Brand Strategist wake na sasa Mimi na Team yang tuck busy to shape his brand shape him kuanzia muonekano Mpaka uimbaji wake, introducing his to Professionals and work with Professionals

Hii ni moja ya kazi zake za zamani kabla hajawa mikononi Mwangu , shouts to damiano (arma) Venas  and LMJ wote wakiwa Marekani. ndio kwanzaaa tunaaanzaaaa 



Maoni

Machapisho Maarufu