UZAZI WA MPANGO NA UMATI TANZANIA
Hiiii My Little brothers n sisters!.
let me share a story na nyie Mimi sina mtoto , and nataman sana mtoto but i have plans story ni nyingi sababu mi nimekulia katika macho ya jamii hivyo i always share with no regrets ila sijawahi share ati sina uwezo wa kubeba mimba ni watu tu wanachanganya ma file , sababu nilishawahi share story hii kwamba nina tatizo la kiafya kwa uzazi my issue is medical!.
ila trust me pia nna mikakati yangu you know ..
my plans working better sio sababu ni maarufu hapana as a young woman nawaza mbali including career mafanikio na zaidi kulinda afya yangu ya uzazi , na kutimiza malengo.
wengi wanahisi nina tatizo la ugumba but hell naaaah yan niko fresh kabisaaa na nna mayai yan nimefanya afya check juzi tu sababu naona ndio muda sasa wa kupata watoto had to do all treats , kizazi kiko safi kiko wazi , Mimi na Mume Wangu Abdul tuna plan ya kuwa na mtoto next year 2024 Inshallah na sikutaka kukurupuka baada ya tiba zangu kukamilika za kuhakikisha najifungua bila complications zozote zile tena Planning kujifungulia marekani my sister is there atanihudumia na ntarud Tanzania kuja kumlea mwanangu.
Kila nikiongea kuhusu hili wengine wanahisi hizi issue ni za grown ups pekee wee nani kasema?!
sasa hivi mnahisi Uzazi wa Mpango ni kwa watu wazima tu hapana , kuwa makini na unwanted pregnancy Mimba zisizotarajiwa ni za kuwa nazo makini na kuzuia mapema.
sio leo una mtoto hajakua hujajiweka vizuri kimaisha mwengine huyo anakuja hujatuliaaa shwaa mwengine kaja hapana watoto Pia wanastahili lelewe vizur once ukiwa vizuri na umekaa kimpangilio, elimu ni muhimu sana kwa ajili yako ww na future yako ila kujikinga na kuijua afya ya ngono ni muhimu zaidi kwa ajii yako na future yako as well.
Wazazi/walezi ni jukumu lenu pia kuongea na wanafunzi kuhusu afya ya uzazi na umuhimu wake ili kuwezesha wanafunzi kufikia ndoto zao na umatitanzania
#youth #womeninhealth #tanzania #sexualhealth




Maoni
Chapisha Maoni