MSANII HUYU KAFANYIWA UNYAMA WA VIPIGO NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Keke Palmer ni msanii mwenye vipaji vingi! Ameshiriki katika filamu kama "Akeelah and the Bee" na "Hustlers," na ametoa muziki mzuri pia. Je, wewe ni shabiki wa Keke Palmer ?! been a Fan of Keke Palmer for a while. Niliamka nikakutana na story yake nilijisikia vibaya sana sababu nilishawahi Pitia hali Hii Nikiwa ktk ndoa Nashukuru mtu kajirekebisha ilibidi nisimame sana kama Mwanamke ili violance na abuse isitake Place, we need to say no to this . emotional and Physical abuse is a hell kno sio Mapungufu ya kibinadamu ya kuvumilia haya at all
keke Palmer files shocking surveillance camera images of ex Darius Jackson beating her at home wawili hawa wana mtoto na Keke ameomba restraining order and full custody of their son.
unaambiwa amekuwa akimnyanyasa kijinsia muda sana , that sounds like a really serious situation, i hope keke is safe and gets the support she needs ,niliposhare hii story yangu wengi walihisi ni kiki but hakukuwaga na uongo in that ni vile sisi binadamu , domestic violence is never acceptable 
kwa wanaume wenye tabia hii ata wanawake hizi vitu ni vya kurithi na vinaathiri sana na unakuwa mtu mzima na tabia ambazo uliziona na kuzipitia utotoni , tibu tatizo hili seek therapy pata msaada kunyanyua mikono na kumpiga mtoto wa watu kumnyanyasa emotional and Physical si sawa kabisa kwa majumbani pls ukiona Mwenza wako anaendelea seek help lakini pia report this to the Police immediately

 

Maoni

Machapisho Maarufu