VOICENOTE ZA NIFFER


Hi guys nimechukua sana Muda kusikiliza voicenote za Niffer , kiukweli kabisa sijashang'aa na hayo mambo yote , inshort mtasema namtetea niffer or anything lakin jaman wote tuna wadada wakazi au watu waliokuwa wanatufanyia kazi wana mambo sana loyalty ni ndogo sana siku hizi na vile kila mtu anakimbilia kwa Dada aaaah easy ukiyatimba faster kwa Da Mkubwa!.
haya ni hivi kama unaona namtetea Niffer chelewa week tu kutomlipa dada yako wa kazi dukan au nyumban mshahara aisee utaona rangi halisi , atavimba atapasuka ataanza kukudharau, Money is the source of all evil wanasema ' asa tuanze mchambua Niffer Niffer is short tempered na hataki ujinga sababu she is a hustler ndio mnasema sijui ana mdau sawa nawe tafuta mdau afu mjengee mamako nyumba fungua maduka nunua range tukuone, hivi mnajua yule alieenda mchafua zama mjue alienda Muomba msamaha sababu Mwisho wa siku bwana kuna maisha nje ya mtandao sasa huyu dogo kwanza nimeangalia tiktok yake she is young and looks innocent kulia ile ni sababu anampenda niffer kama dadake asa anaona keshayatimba hana jinsi acha tu atafute Public sympathy. kuna sauti za yule dada ambae alikuwepo wakati dogo anapanga kumchafua niffer yan yule dada anakwambia aliona hadi wakati anatoka na kopo la mkojo na dogo kuongea mbovu balaa wakati Niffer hayupo so dada alimrekodi so msione Pale anajiliza hivi mshawahi semwa na wafanyakaz wenu kama hampo mnajua wanachoongea nyuma ya migongo yenu .. ni balaa , kama kuta zingeongea kuna watu wanamtusi niffer wangesikia wanavyotukanagwa nao na kusema hhaha wangechoka , jaman  kiufup ni hivi kama wewe ni celebrity siku hizi hakuna tena uaminifu kama ndugu yako anaweza kuwa na fake accounts na kuamua kukuongelea vibaya au bff zenu wakiwa ndio wakwanza kuwaangaza kisa visenti what else , no one is safe saa hii ndio maana mimi binafsi simuamini mtu na nimekuwa mkali kama Simba ukicheka kidogo tu au ukifanya jambo au ukikosea kibinadamu utarekodiwa utaanza tishiwa kupelekwa ktk vyombo vya habari au page za udaku mi siku hizi nakusweka ndani stak story yan uwe nani uwe nani nikikuamulia nakusweka ndani.
haya alivyosema wateja hawampendi niffer anadharau kitoto kinafiki sana kile , ina maana kinakaa na wateja kinamsema niffer yan inahusu nn sasa kuanza sema hana sehemu ya kujisaidia sasa wanaishije hio sehemu na hakuna sehemu ya kujusaidia!? kufuli sijui duka halina kufuli asa oya Mwananyamala Palivyo pale duka likose kufuli kweli ?! na wasiibe .. aaah wapiii!.
issue ya wateja niffer mdogo angu sio kila anaekuja apo anakupenda wanga wengi wachawi wengi wengine wivu tu siku hizi hadi followers wana wivu baadhi na maisha ya watu maarufu. you need to be very careful, sema heshima kitu cha muhimu sana cut ties na huyo dogo 15 minutes of fame inaishaga faster tu.
guys bulding a brand si mchezo ...
Niffer , Building a brand can be an exciting journey! It's all about creating a unique identity and connecting with your target audience. Consistency, authenticity, and understanding your audience are key. So Usimpe dogo airtime sana sababu Audience Yako inayokupenda na kukuamini iko Pamoja nawe so ignore the noise za wachache n focus na dogo you too young watu wataogopa kukuajiri acha kujiharibia life has a lot to offer ,
Absolutely! Life is full of endless possibilities and opportunities. It's all about embracing new experiences, learning, and growing. Whether it's pursuing your passions, exploring new places, or connecting with amazing people, there's so much to discover and enjoy. So, let's make the most of what life has to offer! jus saying!. sema sehemu ya nilikosa sehemu ya kujisaidia haja kubwa sijaiamini haja kubwa ikushike ujibane siku nzima we fanya mchezo na haja nini wewe 😂😂😂 mkojo tu ukibana akil inaruka ije kuwa haja kubwa aisee tumia akili na common sense utaelewa 


Maoni

  1. Watu wa dizaini hiyo wapo wingi ila hawezi fanya udharaulike kwa watu wanaokujua na kukuthamini mpotezee tu.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho Maarufu