WATALIPA FAINI
Jaman BASATA limewapunguzia adhabu Whozu, Billnass na Mbosso na kuwataka wasanii hao kulipa faini ili waweze kuruhusiwa kufanya kazi za sanaa.
Maamuzi hayo yamefikiwa kwenye kikao chini ya uongozi wa Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro kilichofanyika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam ambapo msanii Whozu amepewa masaa sita ili kutekeleza azimio la kushusha wimbo huo kwenye “digital platforms” zote kwa mujibu wa makubaliano.



Maoni
Chapisha Maoni