YAN MAPENZI YANAMPA SHIDA
Hi Diva ,
Naitwa salimu kutokea sinden tanga,
dada naomba ushauri ,
nna mchumba wangu na tumepanga mambo meng sana kuhusu maisha yetu lakn saiv amekuwa mzito hata kunitafuta imekuwa ngumu, nikimuuliza kwanini unakuwa hivyo ananijbu kuwa yuko bize! kweli jaman unaweza kuwa busy kwa unaependa au ndio nimepigwa na kitu kizito?!
Nipeni ushauri nampenda sana mpenz wangu huyu anaetesa roho yangu na kuna mwengine kakojolea hali ya hewa , alikuwa anaomba ushauri jamaa ana uume mdogo afu demu wake ana makalio makubwa kwahio wakiwa wanafanya tendo uume unatoa kasema unatoka shwaa kwahio anaona fedheha sababu demu analalamika pia hafikishwi kileleni anahitaj uume wake ukue kama kuna dawa au anything so nikawa namwambia sijui kama kuna dawa ila najua kuna mazoezi ya kukuza uume if Im not mistaken.
anasema anaumia sana ingawa yeye katika kumuandaa mwanamke ni fundi sana tu ila ktk kuchomesha na aina ya mwanamke alienae ni fedheha kubwa mno na amejaribu style nyingi ila bado .. kwa wenye ufundi wa hili jambo acha comment tuwasaidie ndugu zetu apa ktk diva blog na hakikisha unaiwasha 88.9 Wasafi FM kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 4 kamili usiku Mpaka saa 6 kamili usiku



Maoni
Chapisha Maoni