ZUCHU SAPLAIZ YA DIAMOND AFRICA KUSINI
I have been busy mpaka nikasahau kupost mamboz yanayoendelea nina mambo mengi ya kusaka hela for few days i have bills to pay ila hii nimeiwahi maana nawapenda sana my two faves lovebirds Zuchu Guys kama mnavyomuona happy happy happy akiwa na diamond south africa mabusu kama yote!.
Oh, Zuchu's birthday party was absolutely amazing! It was was such a blast ,
filled with music kisses hugs and lots of fun. The venue was beautifully decorated with colorful balloons and lights. Zuchu looked stunning in her outfit๐๐๐Anasherekea umri wa miaka 30 mwaka huu na ndio mwanamuziki namba moja nchini kwa sasa kwa upande wa wanawake.
siku za hivi karibuni wawili hao walisemekana hawana mahusiano mazuri baada ya zuchu kumu unfollow Simba la masimba sasa hapa ndio mnaambiwa wambea watu wakigombana mtulize mishono.



Maoni
Chapisha Maoni