HAPPY NEW YEARS

Hellow 2020 imeisha na sasa tuko kwenye 2021 nani anahisi tunakaribia nusu mwezi? leo nimeamua kuwa napost sana mahusiano huku pia , nimeamka mapema sana kwa ajili ya hii blog and normaly design it with free template lol, i mean had too lol, ni mahusiano na lifestyle, today wanna talk about life is too short to stay single, sababu unajibana ili iweje huyu aliekuumiza yeye yuko single, na why would you push people away sababu ya mtu mmoja? nafikiri ifike sehemu tuishi a freelife kama hewa tunayohema maisha mafupi sana kukaa pata shida zisizo na faida , mtu akiwa anataka awe katika maisha yako kwanini usimuache awe na kama hataki kwanini usimuahe aende kwanini tunakaa bembelezana? hata kama ni Mapenzi unahisi anaekupenda atafanya hivyo kwako ukose raha kweli? Maisha yamekuwa yamejaa vifo sana hivyo ukipata nafasi ya kuishi ishi , hakuna reason ya kuwa single, download tinder and dont catch feelings , niko in my office naandika ninachoandika , nimejiuliza sana kwa dakika 5 na nikasema why would you allow you settle for less? i post a new Podcast and tell you life is beautiful out there have fun, life has a lot to offer, kama unahisi you wanna heal heal with someone ...for more pls click anchor.com/divathebawse for a whole lot

Maoni

Machapisho Maarufu