Mahusiano Huchanganya





Jana nilipata simu booking ya Interview for online media and simply talk about relationship, as expert ambae nimefanya show ya mahusiano na naendelea fanya kupitia Podcast zangu nimejikuta namwambia Mtangazaji anipe muda nipone ili tuzungumze pia sauti yangu ikiwa imerud baada ya kuumwa for 2 weeks want to be fully recovered ndio niongee,
what iknow mahusiano ni kama bahati nasibu tu, kuna kupata na kukosa nahisi Pia yanahusisha kumuomba Mungu akupe hitaji la moyo wako uhangaike nalo, relationships are so confusing i cnt lie , even me huwa confused sometimes hayaeleweki ila i prayed to be in a relationship niliokuwa nayo saa hii,
sitaki ongelea past zitanchosha tu sababu was all show business ila reality check ... stil kuna wengine pia wanaweza kuwa sahihi kwako usikate moyo usife moyo kabisa ukiumizwa au vitu visivyoenda unavyotaka wewe.
i wil post this and rest maana nahisi bado nna zzzz nyingi and i need to pumzika as well.
relationships ziko Pata Potea. na hazijanyooka sana ila you might push it ili ikae unavyotaka . what ikno is usiwe sana mtu wa kuamini itakaa hapo milele. milele kwenye mahusiano ni bahati nasibu means anything inaeza tokea kaa mkao wa kula.
nahisi ntakuwa na new episode ya Podcast show yangu and ntachukua muda sana kuongelea i wil invite a host kiukweli tuyajenge maana hizi vitu ni balaa, nimeona story ya mtu wa miaka 80 aliefariki juu ya kiuno cha binti wa miaka 33 nimechoka sana tena guest. kwa kuangalia tu yule mzee ana familia aisee apumzike kwa amani. ki africa ni aibu sana maana unaambiwa hana jeraha lolote lile ila sasa unahisi nini? kifo kina siri kubwa hivyo siwezi ongelea sana ila sidhani kama yule binti atakuwa sawa sidhani kabisa ni hio situation itam hunt kila atapokuwa ananyanduana na mtu mwengine, thats why saying relationship are so confusing .. gape yao miaka 50 mizima aisee jaman dada huyu namuonea huruma ... mu dear age with grace 🙏
hivyo basi nahisi nikwambie uwe mvumilivu tu kwenye relationship maana unaeza ruka mavi ukakanyaga mavi yneye virusi vikali zaidi yan hizi vitu hizi ni very unpredictable. na wanaume naona wanafanana sana tabia uongo mwingi sana same applies kwa wanawake nao siku hizi unaeza sema mke wangu mtulivu au demu wangu katulia kumbe kicheche Pro max...hivyo all you need is prayers hasa kwenye magonjwa ya ajabu yasiopona we need to ask God maana ...
Mh ...
kama una any article, swali la mahusiano na unahitaji ushauri karibu sana available on whatsapp 0656 336919 wil talk and see i through-))

Maoni

Machapisho Maarufu