JINSI YA KUWEKA VITU ZAKO UNATAKA FANYA KATIKA MAISHA

Hi Guys welcome on my blog , Place where you get yo daily dose , today kidogo tuongelee to do list maana na save balaa ... Sijui lakini kwa wengine ila mimi nawaza sana hela , 2. Organize to-do lists based on life goals Making a to-do list is no revolutionary hack, but how are you setting priorities when you’re reviewing what has to get done every day? Before making your next to-do list, ask yourself where you want to be in 5-10 years. Everything on your to-do list should be taking a step toward achieving those long-term goals too. For example, strategize business growth, spend 30 minutes taking an online class, or work out if your goal is to be more active. In other words, to-do lists of even the simplest tasks could have a long-term perspective.
ata simu zangu ni story za hela tu , hivyo basi najitahidi kila mwezi kuandika my to do list ya kufanya au nini nataka nunua , Mwezi wa mwisho huu wa 7 nataka Organize to-do lists based on life home decor , wanasema mwanamke nyumba then kuna unyama wa chumba changu cha kuvalia maana jus a month tumehamia sehemu mpya and we stil holding it down ...therez a lot to do after Paying divamedia inabid niingie gsm wamenipa PUNGUZO langu ahaaaa ...when so done al show you maana saa hii kizur yes but wanna do more .......you guys kno me napenda sehemu nzur. , haiya hii video ni kwa wale wanaopenda mambo mazuri .......
so few tips n tricks here

Maoni

Machapisho Maarufu