SIO MDANGAJI
Ceccy leo amefunguka sana , kwamba maisha yake ya dubai sio mdangaji na yeye ni Model na analipwa.
Nilimuacha Lukamba sababu Ya Mambo Ya Kifamilia Ambayo Yalikuwa nje ya uwezo wangu Maisha yake yalikuwa ya kawaida hakuwa anaweza kumudu expenses zangu sababu nimemzidi Kipato.
Niko tayar kuingia ktk ndoa na mtu sahihi



Kwahiyo anamtaka mwanaume mwenye kipato kikubwa zaidi yake??
JibuFutaDada diva nahitaji mwanamke mwenye kuniheshimu kujiheshimu pia na mwenye upendo wadhati
JibuFuta